Numbers 24:22-24

22 aHata hivyo ninyi Wakeni mtaangamizwa
Ashuru atakapowachukua mateka.”
23Ndipo akatoa ujumbe wake:

“Lo, ni nani atakayeweza kuishi wakati Mungu atakapofanya hili?
24 bMeli zitakuja kutoka pwani za Kitimu,
zitaitiisha Ashuru na Eberi,
lakini nao pia wataangamizwa.”
Copyright information for SwhNEN